AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huyu Mzee apumzike tuu kashakua Na ndimi mbilimbili sasa Na ametumwa kuvuruga upinzni
ReplyDeleteMh.Lipumba.. Hapa umeshafika na Karibu sana na unaweza kuanza kupanga Majukumu yetu ili tuchape Kazi. Mwenyekiti wetu Karibu sana..tuko pamoja katika kuimarisha chama hususwani kule Bara na Pemba yetu, Miongozo yako nidiyo mafaanikio yetu.
DeleteDUU!!!
ReplyDeleteMh.Lipumba.. Hapa umeshafika na Karibu sana na unaweza kuanza kupanga Majukumu yetu ili tuchape Kazi. Mwenyekiti wetu Karibu sana..tuko pamoja katika kuimarisha chama hususwani kule Bara na Pemba yetu, Miongozo yako nidiyo mafaanikio yetu.
DeleteKipindi cha uchaguzi ulikimbilia Rwanda eti kujifunza uchumi!! Ulirudi na cheti gani??
ReplyDeleteTatizo una ngangania kubaki kwa ajili ya ruzuku masilahi yako zaidi...achia ngazi babu wee na wengine wafaidi profesa mzima brain zero.
ReplyDeleteWewe jitu zima ovyo
ReplyDeleteEti professor tena wa uchumi
Huoni hata
Unacho mchukia lowassa kipi
Mlikuwa wote chuo jifunzeni kwake
Alionewa CCM akahamia chadema na ameleta neema ukawa japo humpendi
CUF
Hakuna aliyekufukuza
Uliondoka kwa vishindo
Kama kweli mwanaume anzisha chama chako CCM
Utapata mtaji
Lakini CUF ngoooooooooooooo
Msajiri na uchwara wengine wote wanaokukingia kifua nyote mu wachawara
Mpunga chuya
Mkapa alisema
Mh.Lipumba.. Hapa umeshafika na Karibu sana na unaweza kuanza kupanga Majukumu yetu ili tuchape Kazi. Mwenyekiti wetu Karibu sana..tuko pamoja katika kuimarisha chama hususwani kule Bara na Pemba yetu, Miongozo yako nidiyo mafaanikio yetu.
ReplyDelete