Wema Sepetu Awashukuru Waliomtumia Salamu za Birthday

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu Wema Sepetu ambao ndugu, jamaa pamoja na marafiki walimtakia heri na mafanikio mrembo huyo.

Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni baada ya mama Diamond kum-wish malkia huyo wa filamu huku akimkaushia Zari ambaye ni mama watoto wa Diamond.

Pia dada zake na Diamond walim-wish maklia huyo.

Baada ya kupokea salamu za watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia malkia huyo wa filamu na yeye aliamua kuwashurudu huku akionyesha kile ambacho hakukitarajia.

Wema kupitia istagram aliandika:
Wow… wow… wow… daah.. sijui cha kuandika.. am just out of words… Wema mimi nitamlipa nini Mungu kwa Neema na Baraka zake anazonijalia kila siku…?? Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa mumumu wangu, My family, my management, teamkazi wale kwa kufungua dimba last Night with that amazing suprise… alafu sasa huku insta, snapchat, twitter and kila site ambazo mmepost about My birthday nashindwa cha kusema.. toka nimeamka najitahidi kujibu kila post ninazoziona.. ila zinanielemea… ila ninajitahidi, nitajitahidi na nitahakikisha najibu Kila ambayo nakutana nayo… ila Daaah You Guys mnajua kupenda.. mpaka najiogopa kwa mapenzi mnayonipa.. what should i say?? Wakwe vepe?? Mawifi je?? Wake wenza nao ndani? Boyfriends🙈🙈 nacheka peke yangu….. And sometyms hadi machozi ya furaha yananitoka… Nimekuwa Cry baby wa kujitegemea tokea saa sita usiku…. Na nadhani zoezi litaendelea mpaka siku hii iishe…. Nawapenda jamani… #AmaBeBack

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watz tunakupenda sana kwa roho yako nzuri Wema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aache kugawa ovyo
      😍😍😍😍

      Delete
    2. Nyokooo alimgawia baba yako fala wewe!!!???huyo zari mbona ndo Malaya wa kutupa kuliko wema???Au hujui hilooo msenge wee!! unakurupuka kwa wivu wako wa kijinga...Na bado movie ndo kwanza inaanza ngojeni zari azae ndo mtaiona Cinema vizuriiii...Mafala nyie mxiuuuu

      Delete
  2. malaya hana mpya mjini sasa mobetoo ndo habari ya mjin akafie mbele na team yake wakosa kaz malaya wenzake

    ReplyDelete
  3. hapo alitaka tu kuwataja wakwe ambaye mama Diamond na mawifi ambao ni dada wa Diamond, yaani Wema endelea na maisha yako Diamond hakurudii tena hivi huwa husikiagi, mwenzako hata salaam hajakutumia halafu wewe unajipendekeza kuwataja mawifi na mkwe utaishia hivyo hivyo shauri yako

    ReplyDelete
  4. Ehahahaaaa mbona mapovu yanawatokaaa😍😍😍waislam mwisho wake 4 KWANI hamjui???Wema ndo roho ya mama Daimond...Vijuso mpooo!!!???Ataolewa kwa mapana na marefu KWANI kuzaa na mtu ndo kuolewa???Aibu yenu inakujaaa!!!!Mafala nyie nxiuuuuu....

    ReplyDelete

Top Post Ad