TETESI: Profesa Lipumba Adaiwa Kujiunga ACT Wazalendo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa muda wa takribani saa kadhaa sasa kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mwenyekiti mwenza wa UKAWA, Prof. Ibrahim Lipumba amejiunga na chama cha ACT- Wazalendo.

Taarifa hizo zimeenda mbali na kueleza kuwa, muda huu kuna kikao kinafanyika juu ya uamuzi wa ACT kumchukua Prof. Lipumba na kuwa mwenyekiti wa sasa wa ACT, Mama Anna Mghwira ajiandae kupisha nafasi hiyo.

Chama cha ACT- Wazalendo hakijatoa taarifa yoyote kuhusu tetesi hizi na wala Prof. Lipumba hajazungumza juu ya hili.

Tunaendelea kufuatilia ukweli juu ya taarifa hizi, endelea kuwa nasi kwa taarifa kamili.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mchumia tumbo katika ubora wake Tanzania tumekosa wapinzani WA kweli wote Ni wapiga dili naichukia siasa ndo inaharibu nchi yetu,

    ReplyDelete
  2. Watanzania hivi hawa ni kweli wanachama wa vyama vyetu au ni Kama wacheza mpira ambao huhamia kwenye masilahi Yao
    Siasa za Tanzania zinatia kichefuchefu
    Huko watampokea walai yesu wangu chadema hata she na mabiliions ya dola hatumtaki ngooooo

    ReplyDelete
  3. Watanzania hivi hawa ni kweli wanachama wa vyama vyetu au ni Kama wacheza mpira ambao huhamia kwenye masilahi Yao
    Siasa za Tanzania zinatia kichefuchefu
    Huko watampokea walai yesu wangu chadema hata she na mabiliions ya dola hatumtaki ngooooo

    ReplyDelete
  4. hapo sawa nenda usirudi kabisa tuachie cuf yetu,wewe si ulijiuzuru bwana?nenda kila kheri zito kabwe na hilo joka.

    ReplyDelete
  5. Hureeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete

Top Post Ad