Wema Sepetu:Timu Wema Wameniganda Kama Ruba..Japo Niliwadiss

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wemasepetu
I never wanted a party this Year.... Cuz ni yale yale tu kila mwaka... So i said to myself sitofanya party mwaka huu na hata mwakani.... But Inshaaaaallllaaaaah panapo majaaliwa tuombeane uhai na uzima 2018 Tunafanya bonge la party maana ndo ntakuwa nagonga 30... But mumumu wangu akasema siku isiende hivi hivi so akaniandalia Dua and chakula cha jioni... Majirani zangu nd all my childhood friends bila kuwasahau Team Wema Damu walikuwepo.... Aisee hawa watu ni Ruba
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ufanyi part huna hela mama wale mabwana zako hawapo tena nchi ipo kwa mwingine hataki ujinga

    ReplyDelete
  2. Si alikuwa Arusha huyu mpaka akiwa kule akasema haji tena dar, mbona karudi tena dar

    ReplyDelete
  3. hujafanya party sababu safari hii huna zawadi ya kujipa mwenyewe, mwaka jana ukajipa mwenyewe zawadi ya range rover kumbe ilikuwa haijagombolewa hata mimi ningejipa zawadi kubwa namna ile halafu baadaye ijionyeshe ni miyeyusho aisee nisingefanya party tena kwa muda mrefu sana

    ReplyDelete
  4. mpumbavu huyu mwanamke ndio mana anaishi maisha ya kuigiza na bado atafulia zaid mambo ya mobeto mjini kwa sasa hawana habari na michirizi.na hiyo team wakosa kaz ndo wanakuganda malaya.zari kiboko yako anakula jasho lako mjanjaa mwenzako

    ReplyDelete

Top Post Ad