Diamond Platnumz na Mohombi Kuja na Kolabo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tuzo za MTV MAMA huwakutanisha wasanii wengi wa Afrika kwa wakati mmoja. Si kila anayehudhuria huwa ametajwa kuwania tuzo, bali wengine huenda kwaajili ya kutafuta connection.

Na wengine hutumia fursa hiyo kwenda kufanya video na wasanii waliowashirikisha ili kupunguza gharama za kuwasafirisha kuwapeleka SA kwaajili hiyo. Miongoni mwa watu waliotumia fursa hiyo ni rapper wa Malawi, Tay Grin aliyewahi kuweka wazi nia yake ya kutaka kufanya kazi na Diamond.

Na sasa huenda hilo limekamilika baada ya kuungana na muimbaji huyo wa ‘Salome’ jijini Johannesburg kufanya video ya wimbo unaonekana amemshirikisha Diamond pamoja na msanii wa Sweden, Mohombi.

“We out here with the boy @diamondplatnumz video shoot,” ameandika Tay Grin kwenye picha hiyo ya juu aliyoiweka Instagram. “It’s fire trust! With @mohombimusic ( I wanna boom bang bang with your body ) @iamlumino @chronicles_of_karim_cazal colin the “boss” it’s all love out here! Great things in the pipeline.”

Naye Mohombi aliweka picha akiwa na Diamond kwenye mtandao huo na kuandika: Big Things Coming !!!! #AfricaUnite with my bro @diamondplatnumz
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzik umemuishia inabak ni kugangania kolabo, ahaaaaaaa eti ni msani mkubwa. Bado sana na sifikirii kama atafik huko.

    ReplyDelete
  2. Mzik umemuishia inabak ni kugangania kolabo, ahaaaaaaa eti ni msani mkubwa. Bado sana na sifikirii kama atafik huko.

    ReplyDelete
  3. Mzik umemuishia inabak ni kugangania kolabo, ahaaaaaaa eti ni msani mkubwa. Bado sana na sifikirii kama atafik huko.

    ReplyDelete

Top Post Ad