AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
Msikilize Hapa:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hahahahhhahhha eti wat....jamnnn jamnnn....wasanii kutoka nje wanataka nn mixeewwww
ReplyDeleteHaaaaaa nacheka kwa Dharau...
ReplyDeleteNa nje ya Africa??? Siamini hata kidogo mbona unapenda misifa namna hiyo?
ReplyDeleteWapiiii kolabook ya Neyoooo Mzeee wa Misifaaaa tujiachie sieee kama salome......
ReplyDeleteeti tuleteeni kolabo ya Ne-yo
ReplyDelete