Divaloness Ajibu Tuhuma za Kujiuza Hyatt Hotel Baada ya Chat Kuvuja Akichati na Danga....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Divaloness ajibu tuhuma za kujiuza Hyatt hotel baada ya Chat Kuvuja akichati na Danga...

Kupitia Kwenye Ukurasa wake wa Instagram ameandika haya hapa :
...
#Regrann from #divathebawse - LOL jaman wanawake wana mambo hahaha anyways . unaambiwa alietengeneza chat zangu za so called kudanga kwenye system ya cyber crime anaitwa Mirry au Maarufu kama Tzshade sijui nini anaishi Dubai , alichat na mwenzie akaenda whatsapp yangu ya biashara na ku crop kisha kuunganisha chat zake aka edit ila pia akasahau crop vizuri 😂😂 , adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake like yoh that number is Public sweetheart, na iko all over yangu binafsi ya smart nahisi aliikosa 😂😂😂 na alipokosea ni kusema rafiki yangu tammy sijui yaan umebugi man sinaga rafiki wa Kike na siendag mahotelini mie afu unapenda kiki na jina langu eeh? damn it babe erm acha obsession zako lol, una hate sana like si ndo kwanza yaan Maisha murua na vodacom yaan Mungu anashusha tu baraka zake.

akaanza post au sambaza akijifanya katumiwa lol Dada kaz unayooooo... loneliness lmaoo kumbe she planned all that, nimwambie tu keep doin the hating ila watu wamekuchoka na uzushi wako. kila siku nasikia mana ata sifatilii unapost pic zangu mbaya na nzuri like bitch i don give a fuck sikujui sitak shobo sitak mazoea .. ushamu whatsapp mara kibao msichana wangu wa matangazo like anakulia Buyu like

nahisi una matatizo ya utindio wa Ubongo and You need a HUG hahaha. mi sio sizoeleki ovyo .. nina sura mbili na siambiliki and i don't give a fuck, like told u once hating ikibuma.. eeh start telling n spreading lies uko hyatt hata kuniona wenzio hawajawah niona mi sio mtu wa cheap ass kwenda kila kona erm get a grip get a life huko lol

fyi hyatt siujui ata mlango wake ulivyo Lamada nako napapita tu , double tree yeah das ma chillin session n nalipia mwenyewe nikienda for bidness meeting mi silipiwi ovyo v2 ww yaan umepuyanga kwa zile chat, asa dola 1000 to 1500 nisingekuwa nafanya kazi till late basi mana huo mtelemko ata vat sikatwi like Yoh .. umepuyangaa. Kudanga ain't ma shit. Get well soon hahahahahaha +971 56 233 3028 namba hio ndo yake unaambiwa

afu mekujibu for my fans n my profesheno reason ukno huwag sina time na haters like u , yan daily u Post celebs watukanwe ..like unapata nini
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kimfacho mtu chake
    Kuuza si haram bibi
    Hata Mimi nauza tena ughaibuni
    Kwa bei mbaya 300€ kwa saa
    Usiogope ili mradi tumia condom shoga

    ReplyDelete
  2. Ila huyu Diva simpendi kutwa mashauzi na ungekuwa mzuri ww! Sura kama mzeee mmmmhhhh

    ReplyDelete
  3. Yaani huyu dada anapenda sifa sijawahi ona mtu mwenyewe mvuto sifuri (0) sura kama mbuzi wa shughuli hebu kwenda huko wewe Upendo msambaa unaejiita love malinzi kwenu korogwe kanye huko

    ReplyDelete

Top Post Ad