Maisha ya Wasanii Hawa Baada ya Kudiss na Kujitenga na Clouds Media...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekaa nikiwaza yani msanii akigombana na clouds kwanini inakua ngumu sana kusimama tena kimuziki? angalia

Jay dee karudi na ndindindi katamba kidogo tu kaja na ngoma yake mpya jiiiiiii imebuma haskiki tena.na ameanza kusahaulika tena

Wagosi wa kaya wakina mkoloni chaaliiiii

Mapacha nao hamna kitu kaaabisaaaaa

Dudu baya nae kuleee

Dan Msimamo kapuni

Rama D kajaribu kufulukuta wapiii

Rubby hata wimbo wake mpya haujulikani tu

Hawa jamaa wana hila gani wanafanya? daah kazi kweli kweli kwa mtindo huu wasanii acha waendelee kua watumwa tu maana njaa haina adabu..
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandishi akili yako ndo inakutuma jide mbona anatamba bado Na akitisha concert watu wanajaa wengi, ruby ngoma yk inapigwa deily station mbalimbali

    ReplyDelete
  2. Ulitaka atumie mkorogo au avue chupi na aonyeshe makalio kama wengine jide hajafulia mtu mwenye akili zake anajitambua

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...fake facts

    ReplyDelete
  4. huyu mwandishi mwanga!!!

    ReplyDelete
  5. Nyege zina msunbua huyo muandishi wa udaku si ujitie kidole au mpelekee Ruge akunaniniluuuu.......nyie ndio wale wale waoga wa maisha bila.....clouds hutoki...Nyamabafuuuu.....

    ReplyDelete
  6. mbona hujamtaja SUGU aliyewatungia na album kabisa??? nae kafulia??? pumbaf zako!!

    ReplyDelete
  7. ndiyo maana blog yako inaitwa udaku mfuyuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nawewe hukauki humu, unaingia daily jinsi unavyopenda udaku, kama SHILAWADU tehe tehe tehe

      Delete

Top Post Ad