Nimekuta Chupi ya Mke Wangu Chumbani Kwa Mdogo Wangu wa Kiume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani Leo ni Siku ya saba tangia nikute chupi ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume,nimekaa nalo moyoni naona niwashikirikishe wenzangu nione mnishauri nini

Ni hivi Ninaishi na mke wangu,mwaka wa NNE sasa,tuna mtoto mmoja,nina Mdogo wangu,anaishi hapa tangia January niliponunua bajaj ili awe anaendesha ili kusaidia wazazi wetu nyumbani kijijini,sasa jumapili iliyopita Wife aliwahi sana asubuhi kwenda kanisani pamoja na mtoto, Mimi nilibaki nimejilaza mpaka kama SAA moja na nusu Hivi, nilivyokumbuka kuwa nilikuwa na Ahadi Fulani, katika kufanya maandalizi sikiweza kuiona pass, so nikaenda straight chumbani kwa dogo katika kuitafuta ndo nilipo kutana na chupi ya mke wangu, ambayo Mimi mwenyewe nilimununulia so imechoka choka kiasi chake,nilishikwa na butwaa kwani namwani sana wife, dogo mwenyewe heshima kwa sana, nilichukua simu na kupiga picha kadha na kuzificha kwenye private vault, ile chupi nikaaicha palepale, wife hajasema chochote mpaka sasa, nawaza namna ya kuanza kumuulizia japo ameshahisi kuwa siko normal,coz nikimuona usoni nakuata hasira imepnada sana,kwa kifupi naogopa ukweli kuwa mke wangu amenisaliti kwa mdogo wangu,mpaka sasa simuoni kama mke wangu tena, namuona kama bundi kajificha chumbani kwangu, naomba mnishauri kwani Mimi kwa haraka haraka naona nimwite kaka yake aje amchukue kabla sijamfanya kitu mbaya, tatizo hasira zangu hupanda pole pole sana, kuzishusha ni kazi sana

By Shonkoso


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ww unapanic bureeeee ukute nfuo zilifuliwa kwa bahat mbaya mkeo alifua nguo zake za ndan na mdogo wake akafua siku moja wakat wa kuanua zikachanganywa ndo na nguo ya mkeo ikafika huko sasa umepanic weeee...bila hata kuhoji..kama hujawahi kuwakuta pamoja bado huna ushahidi wowote juu yao someon is only guilty untl proven n not otherwise..mm mbona brazia yangu ilishapotea nikaja kuikuta chumbani kwa......na sio kwamba nina mahusiano nae nooop nguo zilichanganyika so stop panicing n ask first...utajifia kwa presha buree

    ReplyDelete
  2. Sasa kama mdogo wako anakula mkeo tatizo nini, msubira akioa nawewe lipiza kisasi. Mke wa kaka ni mtamu usiombe.

    ReplyDelete
  3. Bro, inaafadhali unauliza unaweza kumuacha mke wako kumbe hajafanya chochote na huyo kaka yako kama hapo alivyo aleza juu nguo zimachanganyikana. Miye nina mfanyakazi mara kwa mara anachanganya Tshirt zangu na za mme wangu. So take it easy find the truth first.

    Good luck

    ReplyDelete
  4. Mbona kama mchezo tu, naona kama umemchoka mkeo sasa unatafuta kisa na mkasa ili upatie nafasi ya kumuacha. Tatizo ni pale unapoanza kuhisi vibaya mkeo badala ya mdogo wako, hapa inawezekana kuna kupanga kitu ambacho mwisho wa siku mdogo wako atakubali kuwa katembea na shemji yake kumbe siyo ni mipango. Kama umemchoka kwa lolote lile tafadhali mwambie wazi kwa kuwashirikisha wazazi wake, kwani kumtengenezea zengwe siyo vizuri, kwani utakuwa umshinda kwa wakati huo kwa kumtumia shetani, lakini yeye atalipwa mema kwa kusadiwa na malaika wema na waaminifu.

    ReplyDelete
  5. Kaka chaku fanya hapo usionyeshe kama kuna jambo unajua ila enndelea kuwa chunguza mana mapenzi haya jifichi kua nao makini kama ndivyo utawakuta tu

    ReplyDelete
  6. MTU HAWEZI KUSAHAU CHUPI KWENYE MAPENZI NI NGUMU SANA INAWEZEKANA NI BHAHATI MBAYA USICHUNGUZE KITU MUITE WIFE UMUULIZE TU KAMA NI KWELI UTAONA DALILI KAMA UONGO PIA UTAJUA

    ReplyDelete

Top Post Ad