STORI ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni stori ambayo aliitoa kipindi cha nyumba kidogo lakini leo nimeona niwaletee na ninyi mtazame akielezea kilichomkuta na mpaka kupotea kabisa katika anga za muziki wa Bongo Flava.....Its so touching yaai i cant watch this twice. she is a good woman, really strong african woman i like her style, naona rap style yake imebadilika. i like the song Ushaurinwa bure, I think she can do wonders akifanya talk show. there are so many women going through such paths, imagine hearing these stories from Tanzanian women....

Tazama Video Hapa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani udaku hamna kitu kipya cha kuandika hi story mlishaiweka hapa muda si mrefu halafu leo mnarudia tena tumechoka

    ReplyDelete
  2. udaku kama hamna kitu kipya cha kuandika chukueni jembe mkalime shambani

    ReplyDelete
  3. Chezea vyeti fake weeeh!Hapo ndipo utakapo amini na kubaini kuwa waandishi wa habari wengi wa siku hizi bongo ni magumashu matukio yote yanayotokea ulimwenguni kila kukicha iweje mtu anarudia rudia habari hiyo hiyo moja isiyokuwa na manufaa kwa jamii?yaani ni"0"degree

    ReplyDelete

Top Post Ad