WEMA Sepetu Achoshwa na Timu Wema Aanza Kuwa Block Vinara wa Timu hiyo Instagram..Aanza na Huyu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Aanza kuwapa Block Vinara wa Team Wema....Msikie huyu......



#Regrann from #myboowemasepetu - Msema ukweli kipenzi cha mungu. Msione najichekesha chekesha mkazani nimefurahi. Ukweli ni kwamba nimeumia sana adi chozi limenidondoka 😢 inachoma kama pasi 😭😭😭😭. Wema ulianza kumblock legend wetu katika team anaitwa @kimbwi222 iliniuma sana, leo mimi @myboowemasepetu kesho sijui nani. To be honest naumia 😢😭😭😭 un follow ilikuwa haitoshi madam ukaona unipe sollex. Umesahau mazuri yote umekumbuka baya moja tu la jana kisa kumponda aunt. Na sijamponda nimeongea ukweli sasa unataka tufagilie adi ujinga unaofanya. Wema your loosing amka kwenye huo usingizi mzito ulionao. Wanajua hakuna team inanguvu insta kama teamwema, wanakupoteza ukose mtetezi daaaaah nashindwa ata cha kuandika. Mungu mwenyewe ndo anajua kuwa ninamapenzi ya kweli kwako. Watakaonicheka na wanicheke nimeongea ukweli kutoka moyoni. Na asante sana kwa block 🙏🙏🙏🙏. Life goes on .... "
MPE ushauri....
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Team ushuzi tu. Mnasababisha ugomvi zaidi.

    ReplyDelete
  2. Wema ni mpumbavu sana tena Hana Akili na atakufa maskini ni sikio la kufa lisilo na dawa kabisaa!! Mnamshauri vitu vizuri lakini Leo anawaona sio watu kabisaa mwisho wake atakuwa Kama RayC mxiuuu... Anashindwa kuiendeleza ila Apps yake ambayo ingemuingizia pesa kibaoo tena angekuwa Hana hata haja ya kuuza nywele mpumbavu huo kichwa maji..Naona hata Martin kadinda kaisha mchoka ni Mzigo wa Maviii,wenzie kina Kim kadashian wanafanya vituko tunaingia kwenye apps Zao tunalipia ili tuu tupate umbea na wanaingiza pesa kibaoo Sisi tunapenda umbea wema angeikazania iyo angepata pesa kibaoo lakini kichwa majiii pumbavu sana mama yake sijui kamshindwa piaa!!???

    ReplyDelete
  3. Muacheni atakuja kuwakumbuka baadaee,akisha anza Kula unga Kama RayC na hizo biashara zake zitamshinda piaa...maana hata kupromote biashara zake hawezi kutwa yeye anapromote ngono tuu ni mjinga sana!!!tumuombee anahitaji maombi hayuko sawa..kachanganyikiwa kama dada yake Mange kimambi

    ReplyDelete
  4. NYIE WASHABIKI WOTE NI MANGURUE, MNALETA U TEAM USIO NA MPANGO, SANA SANA MNALETA MATATIZO KWA MADAM...MWACHENI AISHI MAISHA YAKE

    ReplyDelete
  5. tatizo nyie waqbongo sijui malimbukeni yaani tangu mjue hizo Timu sijui mnazichukulia ni matusi na kuumbuana namuunga mkono alivyo watoa na mmemsababishia na uhasama wa hali ya juu mkome na ushamba wenu mambo mengine mlikuwa mnatunga wasomaji hawajui kasema yeye au nyie na wote wenye TIMU mfuateni WEMA

    ReplyDelete

Top Post Ad