ALIKIBA Aicheka Kauli ya Diamond Kuhusu Pete ya Kijani!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Je unaikumbuka kauli ya Diamond aliyoitoa wiki iliyopita kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu pete ya kijani?

Ngoja nikukumbushe japo kidogo kile alichokisema, “Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.”

Kumbe alikuwa amerusha jiwe gizani kwa upande wa pili. Inawezekana Alikiba ameshtuka hilo kutokana na picha aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram na kuandika, “Pete Ya Kijani 😂😂#BirthdayLoading29thNoV #KingKiba.”

Mwanzo ilionekana ilikuwa ni vita baridi ya maneno ya chini kwa chini kati ya mafahari hao lakini kwa sasa hakuna kilichojificha tena na kila kitu kipo wazi.

Wiki iliyopita hitmaker huyo wa Salome na Ommy Dimpoz walichafua hali ya hewa kwenye mtandao huo kwa kutupiana vita ya maneno ya kejeli na kukashifiana.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mchawi utamjua tu unaanza kuhisi mwenzio anakuloga kisa kavaa pete...sasa kama we sio mchawi nn unahusishaje pwte ya mtu na uchawi kama ww sio kungwi wa wachawi..

    ReplyDelete
  2. my advise king Kiba dont argue with fool mtu asujielewa hata kwenye dini ya ke hayupo so let him say or do anything kiukweli ni kwamba hakupati hata afanye nini hakufiki hata chembe you are the best dont forget that KING

    ReplyDelete
    Replies
    1. USHABIKI WA KIJINGA, HAMPATI KATIKA NINI HASA??? HUYO KIBA ANAJIELEWA PIA KWENYE MASWALA YA DINI!!!!! SHENZI KABISA MFYUUUUUUU

      Delete
  3. Enter your comment...kwa mziki wa sasa kiukweli na kiuhalali kabisa king of bongo fleva ni diamond..... uchawi upo popote pengine pete ya kichawi kweli, au pengine uongo ss hatujui tusikurupuke wanafanya biashara tu wote hao sioni kipya

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...kwa mziki wa sasa kiukweli na kiuhalali kabisa king of bongo fleva ni diamond..... uchawi upo popote pengine pete ya kichawi kweli, au pengine uongo ss hatujui tusikurupuke wanafanya biashara tu wote hao sioni kipya

    ReplyDelete
  5. king of bongo fleva ni diamond..... penda usipende taka usitake

    ReplyDelete

Top Post Ad