BREAKING News: Bifu la Lady Jay Dee na Clouds Lazikwa Rasmi..Management ya Jay Dee Yaruhusu Clouds Ipige Nyimbo zake Iwezavyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Unaambiwa Kwa Sasa hakuna cha Komando wala nini, ile bifu kubwa kuwahi kutokea kwenye game ya Bongo Flava kati ya Clouds FM na Lady Jay Dee imezikwa rasmi baada ya Uongozi wa Lady Jay Dee Kuruhusu kituo hicho cha radio kupiga nyimbo za Lady Jay Dee iwezavyo kuanzia sasa...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inapendeza kuskia hivyo kama mimi mdau naamini mziki wetu utazidi kufika mbali hasa kwa wasanii wa kike jide anafanya vzr sana, na akionganisha na management ya clouds ndo chakula kitalika vzr

    ReplyDelete
  2. WAME-BANA-WAME-ACHIA..........CLOUDS MEDIA GROUP NDIO MPANGO MZIMA BANA, HAPANA CHEZEIYA KABISA, UTAFIFIA HUKU UNAJIONA........

    ReplyDelete

Top Post Ad