Diamond ft Neyo "marry You" Yashika Namba 2 UK, Aweka Record

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nyimbo mpya ya diamond ft Neyo iitwayo marry you ambayo official release imeshaachiwa United Kingdom (UK) shiku chache zilizopita imeendelea kufanya vizuri kwenye vituo mbali mbali.
Katika nyimbo mpya zilizotoka hivi karibuni diamond amekuwa akichuana na Bruno mars na wimbo wake wa Chunky.

Katika nyimbo bora za wiki zilizotoka hivi karibuni marry you imeshika nafasi ya 2 nyuma ya Chunky iliyokamata namba 1 kwenye kituo cha beat london, na kuweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kufikia level hiyo.

Ikumbukwe diamond na Neyo watakuwa na tour ya pamoja mwezi ujao huko UK

Hii ni hatua nyingine muhumu kwa diamond na mziki wake
Ikumbukwe wimbo wa marry you bado haujaachiwa kwa upande wa africa na video bado haijatoka
Japo kuna demo ilivuja
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. "We are incredibly proud of what BANG Radio and Life FM (previously known as) has achieved but we are excited to introduce a new era for the station; The Beat London 103.6FM – representing and providing a voice for young black London to the world." Jamani jamani jamani acheni uzushi juu ya hiyo nyimbo na hako ka radio station uchwara ambako hata hakasikilizwi na watu hapa UK. Kwanza hakuna hata mtu mmoja anayekajua zaidi ya hao wasawhili waswahili wamachinga wa hapa UK.

    ReplyDelete
    Replies
    1. baba tumbua jipu baba mana maneno yamekua meng kinoma yan hadi tunakosa raha

      Delete
    2. Roho mbaya itakuua wewe ! eti hao waswahili, we ni mzungu!?? shwaini we

      Delete
  2. Haaaaaaaaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😷😷😷😷😷😷😷😷😷

    ReplyDelete
  3. Sisi waswahili tuna shida sana. List iliyopo hapo inaonyesha nyimbo mpya walizo nazo hapo studio na imepangwa alphabetically kufuatia majina ya ya kwanza ya wasanii: Bruno, Diamond, Dre, Ella, Kiiara, Mark, Mostack, Sean na kuishia na Shaka. Hiyo siyo kuwa ni wimbo namba moja mbili au vipi. Waswahili tuna shida kweli kweli; ni wababaishaji wa ujanajaujanja tu. Na kweli, mtu anaweza kutumia listi hiyo kudai wimbo ulipiwe zaidi kwa sababu upo namba mbili!.

    ReplyDelete

Top Post Ad