AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanadada Diva aliweza ku tweet kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu” kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anamtia gundu!
Mwanamuziki Alikiba ni miongoni mwa wanamuziki wenye nguvu nchini Tanzania huku akichuana kwa mashabiki na Diamond Platnumz.
Je unadhani mtazamo wa Diva kuhusu mpenzi wa Kiba ni waukweli au Alikiba anafanya muziki mzuri usio na gundu?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
UNAMTAKA KIBA WEWE,NA BAHATI MBAYA KIBA HAWEZI KUPENDA MWANAMKE KAMA WEWE.NGURUWE WEWE.
ReplyDeleteAMETOA MAONI TU HAKUTUKANA.YEYE PIA NI MWANAMKE MZURI KAMA WENZAKE AU ZAIDI.
ReplyDelete