Esma Platnumz Avunja Ukimya, Afunguka Kuhusu Wazazi Halisi wa Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dada wa msanii Diamond platnuz Esma Platnumz amesema hakuwahi kumtabiria wala kutegemea kuwa kaka yake Diamond angekuja kuwa mtu maarufu kimataifa japo alikuwa akionesha kupenda muziki tangu akiwa mdogo.

Hata hivyo Esma amesema maswala yanayoandikwa kwenye magazeti kuhusiana na Baba yake siyo ya kweli kwa kuwa yeye anamfahamu baba yake mzazi na mtu aliyejitokeza kwenye magazeti siyo baba yake na hamfaham kabisa.

Pia Esma hakusita kuongelea taarifa zilizozagaa kwamba mama Daimond hana mahusiano mazuri na wifi yao Zari na kusema hawana tatizo lolote na wifi yao na hakuna mzazi asiye furahia wajukuu  hivyo watu wanayoyaona katika magazeti siyo ya kweli na wasiyatilie mkazo, huku akimalizia kwa kusema kuwa anampenda mume wake Petit Man
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandishi alielewa kweli alichoongea Esma?

    ReplyDelete
  2. Esma anajielewa mwenyewe anachokiongea, tabu kwa wengine kuelewa anachoongeaga, nilimuona akiongea live kwenye interviw sikuelewa kitu chochote na sikuelewa hiyo interview ilikuwa inahusu nini

    ReplyDelete

Top Post Ad