KAMPUNI ya MURO Investment Yatangaza Kuuza Mabasi na Vituo vyake vya Mafuta...Kunani?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la nyumba kipigwa mnada, viwanja, magari, hoteli na mali mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni baadhi wa wakopaji kushindwa kurejesha fedha za mikopo walizochukua kutoka katika taasisi za kifedha.

Mbali na kupigwa mnada, baadhi ya hoteli na kumbi nyingine zimebadilishwa  matumizi ambapo nyingi zimefanywa hosteli kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo huku nyingine zikibadilishwa na kuwa shule na vyuo wakati wamiliki wengine wakiamua kuzifunga au kupunguza idadi ya wafanyakazi.

Kampuni ya Muro Investiment Co. Ltd inayomiliki mabasi ya safari za mikoani na vituo vya kuwekea mafuta imetangaza kuuza mali hizo. Kampuni hiyo haikueleza sababu za kuuza mali hizo.

Hili hapa chini ndilo tangazo la kampuni hiyo likielezea mali zinazouzwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado the real movie soon come"SHAMBA LA BIBI LIMEPIGWA SEAL"Na ufunguo wake umetupwa deep down bahari ya Indian Ocean

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli hapo juu, shamba la bibi limepigwa pine na ufunguo wake umetupwa huko deep Occen ya Indian, anayeweza kudaivu akatafute, hapo cha cha

      Delete
  2. Kwani Mulo ndiyo nani.. Mfanya Dili au Kiongozi mhesimiwa? Mie sielewagi au mgao wa ulisi.? Mungu mlehemu Malemehu Dili.. Dili.

    ReplyDelete
  3. Kwani MuRO ndiyo nani?.. Mfanya Dili au Kiongozi mhesimiwa? Mie sielewagi au mgao wa ulisi.? Mungu mlehemu Malemehu Dili.. Dili.

    ReplyDelete

Top Post Ad