Linah Adai Amejaribu Kumweka Sawa Recho Lakini Ameshindwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki Linah Sanga amedai kuwa amejaribu kuzungumza na msanii mwenzake Recho ili kumrudisha kwenye nafasi yake lakini ameshindwa.
Linah na Recho

Akiongea katika kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV wiki hii, Linah amesema tayari ameshamfuata Recho mara kadhaa ili amweleze kinachomsibu lakini amekuwa msiri.

“Sisi wasanii tulilelewa kwa kushirikiana kwa kila hali na tulipenda kwa sababu kuna wakati tunaishi pamoja, tunatungiana nyimbo,” alisema Linah “Kwahiyo kwa upande wangu mimi na niseme ukweli namfutilia sana Recho, shoga yangu vipi? Mbona kimya, fanya hivi lakini huwezi kujua kwanini yupo vile na kwanini anashindwa kubadilika,”

Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya vizuri na wimbo ‘Upepo’ amekuwa kimya kwa muda mrefu bila kuweka wazi kitu kinachomsibu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Linah unaonekana umezeeka yaani unaonekana umemzidi sana Recho ki umri wakati Recho ni mkubwa sana kwako hata kama Recho ana matatizo lakini anajua kujiweka fresh yaani anaonekana young

    ReplyDelete

Top Post Ad