Master J: Mimi na Hermy B ni kati ya watayarishaji wa muziki tunaoishi maisha mazuri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna muziki pasipo kuwa na watayarishaji wa muziki – lakini wao ndio wamekuwa wakiongoza kuishi maisha ya chini zaidi.



Akiongea na kipindi cha Ladha 3600 ya EFM, mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa nchini Master Jay amesema kuwa kwa Bongo ni maproducer wachache wenye maisha ya kwendana na hadhi yao.

“Kati ya maproducer wanaoishi maisha mazuri hapa mjini ni mimi na Hermy B,” amesema Jay.

Master ameongeza kuwa yeye alishtuka mapema ndio maana akaamua kuachana na kazi hiyo kutokana na kutoona faida na kazi hiyo wakati huo huo akiwa na familia inayomtegemea.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi naishi Ulaya na sio mtayarishaji wa muziki na wala sina kazi lakini naishi maisha mazuri kuliko Master j

    ReplyDelete
  2. Binadamu hajikwezi mwenyewe bali hukwezwa wewe kwenu nyinyi hapo juu mnaojisifia kimaisha sijui Master J na huyo anayedai anaishi ulaya

    ReplyDelete

Top Post Ad