MAUNO ya Mwendokasi Ndio Yanayoniweka Mjini – Gigy Money

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa mauno yake ya mwendokasi ndio kitu ambacho kinawafanya wasanii wengi wamtafute kwa ajili ya kufanya naye kazi.

Mrembo huyo ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM, amesema kuwa video queen ni kazi ambayo inalipa tofauti na watu wanavyofikia.

“Unajua kazi yoyote ukiiheshimu ni rahisi nayo ikakuheshimu,” alisema Gigy Money. “Mimi hii kazi naiheshimu ndio maana imeniweka mpaka hapa nilipo. Sasa hivi mimi ni mtangazaji wa kituo kikubwa cha redio, kwa hiyo mimi naweza kuwaambia watu wanatakiwa kuiheshimu hii kazi kama kazi nyingine,”

Aliongeza,”Kusema kweli sasa hivi mimi ni moja kati ya video queen ambao tunafanya kazi nyingi lakini haya yote yanatokana na nikipata kazi naifanya isavyo, napiga mauno ya mwendokasi mpaka mtu labda alipanga kunipa scene moja anajikuta nanipa mbili au tatu,”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vipi ikifikia siku mifupa imechoka kukata hivyo viuno inavyoviita vya mwendo wa kasi maana siku zinavyoenda na umri nao unaenda vile vile

    ReplyDelete
  2. mrembo Gigy wewe piga kazi tu wewe kata mauno kwani tako unalo kwa nini usiwatingishie na mimi ningekuwa na tako kama lako ningewatingishia kila sehemu mpaka ufukweni mpaka watu wangenichoka

    ReplyDelete

Top Post Ad