Nilipumzika Muziki Kula Bata – Ommy Dimpoz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msani Ommy Dimpoz amesahihisha mashabiki walipokuwa wakisema msanii huyo kafulia baada ya kukaa kimya muda mrefu kwenye game, na kusema aliamu tu kupumizka kwa muda na si kama alifulia.

Ommy Dimpoz akiwa na Rooney Visiwani humo
Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television, Ommy Dimpoz amesema watanzania wamekuwa na mtazamo tofauti sana hasa pale msanii anapokuwa kimya kwenye kazi zake, na kukimbilia kumlaumu.

“Mimi nilikuwa kimya nilikuwa nafanya mambo yangu mengine, lakini sio kama kukaa kwangu kimya nilikuwa nimepotea nimepotea kwenye muziki, unajua watanzania wamekuwa na tafsiri tofauti, kuna watu wanatake break kija Justin Timberlake wanakaa miaka 7 7, na mimi nilikuwa zangu vacation, ma Ibiza huko (Ibiza ni sehemu ambayo watu wenye mkwanja mrefu duniani ndio huenda kula bata), sasa nimerudi nataka kufanya kazi”, alisema Ommy Dimpoz.

Ommy Dimpoz ambaye amerudi na ngoma mpya ya Kajiandae ambayo amefanya na Alikiba na tayari ameshaachia video yake, imepata ushabiki mkubwa mitandaoni kutokana na video yake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kula bata wapi weweeeeee mtu mwenyewe ni maskini wa kutupwa.

    ReplyDelete
  2. Jamani udaku muwe na kumbukumbu nzuri jamaa alishasema kuwa huyo jamaa aliyepiga nae picha siyo rooney wa ukweli bali ni mtu ambaye anafanana na rooney

    ReplyDelete

Top Post Ad