Picha: Alikiba Asherehekea Siku ya Kuzaliwa Kwa Kutembelea Mbugani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Leo ni siku ya kuzaliwa ya Alikiba. Na kusherehekea siku hiyo muhimu kwake, muimbaji huyo mahiri alitumia private jet kwenda na timu yake ya Rockstar4000 akiwemo Barakah Da Prince kwenda mbugani. Chini ni picha alizoweka kwenye Instagram.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaani hata haogopi kusimama pale ndani karibu na wanyama angetokea simba na kuja kumla hivyo hivyo mzima mzima angemlaumu nani msiige wazungu, kuna wazungu wameuliwa wakiwa mbuga za wanyama wanajifanya wajuaji kuwasogelea karibu wanyama wakali matokeo yake wanauliwa wanyama wakali si wakuchezea watu wanaochezea wanyama wakali huwa wananiuzi sana pale mbuga za wanyama mtu anahistaili kupita tuu akiwa ndani ya gari kwa usalama Wake sio kushuka na kuingia pale msitake sifa za ajabu ajabu hamjui kuwa mnawauzi watu

    ReplyDelete

Top Post Ad