Ticker

6/recent/ticker-posts

Pichaz: Zari The Boss Lady Afanya ‘Baby Shower’

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.

Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Post a Comment

11 Comments

 1. Zari mrembo mumependeza sana nakutakia happy baby shower

  ReplyDelete
 2. Wee Zari mzuri sana.

  ReplyDelete
 3. anauzuri gani na sura imeshaanza kumshuka? au make upp inambeba tuu. ops! Aunt na iyobo hawajaalikwa.

  ReplyDelete
 4. kwa hiyo 360 ndo mnamuona mzuri au ndo kujipendekeza. Domo asinge opoa Hamisa basi.

  ReplyDelete
 5. Domo asinge opoa Hamisa? Hamisa sio wife material kama Zari na Hamisa si mtu wa kuishi nae kama alivyo Zari we huoni Hamisa alivyokimbiwa na baba mtoto wake sababu aliona Hamisa si mtu wa kuzaa nae jamaa alikuwa anataka kapuchi tu na wala si kitu kingine na kama Diamond atakuwa katembea na Hamisa basi itakuwa alitaka kapuchi tu na wala sio kukaa nae sababu pale watu wanapita tu kama ilivyo kwa Wema, yaani Diamond kwa Zari amefika na kutulia ndio ukweli huo mpende au msipende na zari anaonekana kijana saana kwa kuwa na watoto watano sio kama wasichana wa kibongo ambao hawana hata watoto lakini wanaonekana wazee saana na wanaonekana wamechoka ile mbaya lakini Zari anaonekana kijana na yuko fresh

  ReplyDelete
 6. Duh! anazaa kama panya

  ReplyDelete
 7. kweli Zari kijana si kaanza unalaya akiwa 13 yrs. na kama Domo kafika kwa zari mbona alishamtia mimba Hamisa ikatoka? tuliza kipapa Anony 10.38 PM. huyajui yanayoendelea. uliza kwanza grann anataka aandikiwe nyumba ya us Domo kamkaushia couz ni nyumba ya wcb ila wamemuweka Domo mbele,

  ReplyDelete
  Replies
  1. Na kama Diamond angempenda Hamisa si angemuacha Zari hata kama Domo alimpa Hamisa mimba ikatoka na yeye mwenyewe alisema lakini Hamisa angeishia kuwa msichana Wake wa pembeni tu, na kama Domo angempenda sana Hamisa basi asingemkana au asingetembea nae kisiri siri angeacha watu wote wajue ndiyo hivyo ukimpenda mtu unataka watu wote wajue kama ilivyo kwa mrembo Zari lakini Domo hajatoka na hilo la kutoka na Hamisa na hawezi kamwe kuweka wazi sababu hataki kumuuzi mpenzi Wake Zari ambaye anampenda sana, huo ndio ukweli halisi

   Delete
 8. na Hamisa bado yuko na Almasi kwa raha zake. upo nyonyo!

  ReplyDelete
 9. Na Hamisa ataishia ubanjuliwa kimya kimya hata akijipatisha mimba kila wiki. Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kubaki na Hamisa. Kuliko abaki na Hamisa bora angebaki na Wema matako ya vipande. Mtake msitake Zari yumo ndani na mtoto namba mbili anakuja soon. Wale wanaosingizia mimba zinaingia na kutoka wanazidi ku lost hahahaa

  ReplyDelete
 10. hao wasichana wa kibongo wanaosingizia mimba zinaingia na kutoka wanataka pesa za Diamond na ndiyo maana Diamond alijua hivyo na ndiyo maana akazaa na mrembo kutoka Uganda mrembo Zari na Diamond hawezi kwamwe kuwa na demu wa kibongo na kama akitembea na demu wa kibongo anataka kuwatumia tu kama walivyomtumia yeye

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)