AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Watoto wengine wanakuwa wanawasumbua wazazi wao(mama zao) wawanunulie nguo kama alizovaa Tausi. Tausi amesema anapenda sana watoto na muda si mrefu anategemea kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu japokuwa hakusema ni lini. Ameongezea pia mchumba ambae anatarajia kufunga nae ndoa ana kimo kirefu mwenye kuweza kuzima taa wanapokuwa chumbani. Muigizaji Tausi ameongea haya wakati anahojiwa na Dina Marios katika kipindi cha uhondo E fm radio.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hemed PHD. anafaidi mpaka tunaona wivu. NDIYO MAISHA mama. HONGERA
ReplyDeleteMwanangu! Umetisha.
ReplyDeletehongera sana dada Tausi
Deletehongera sana mrembo mfupi mwenzangu, shemeji hapo kapata mke mwema
ReplyDelete