Updates: Watu 76 Wamethibitika Kufariki Dunia na 5 Kunusurika Katika Ajali ya Ndege

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu 76 wamethibitika kufariki dunia na 5 kunusurika baada ya ndege ya wachezaji kutoka Brazil kuanguka asubuhi ya leo. Kati ya waliofariki 22 ni Waandishi wa Habari.

Timu Atlético Nacional ambayo ilipaswa kucheza wa kwanza wa fainali dhidi ya timu ya Chapeonense yaomba Shirikisho la Soka barani Amerika Kusini(CONMEBOL) kukabidhi kombe kwa timu hiyo.

Msemaji wa Uwanja wa Ndege wa Medellin Bwana Jose Maria Cordova amesema kuwa ajali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya hewa katika ukanda huo, kwani kupitia Sattelite radi na mawingu mazito yalionekana katika anga.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Udaku mmchelewa sana na hii habari ambayo ilitokea jana usiku

    ReplyDelete
  2. da R.I.P, sina hamu tena ya kupanda ndege kuja kusalimia ndugu bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad