BIF la Jokate na Flavian Matata Linapamba Moto Chinichini, Kisa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. 

Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo mmoja kwenye social media. 


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna cha kuibiwa idea yoyote ile kwani huyo Flavian Matata hiyo idea aliipata wapi kama sio na yeye aliiba kutoka kwa watu wengine. Hilo ndio tatizo la Wabongo walio wengi. Wakifanya kitu kidogo basi watajifanya kama vile ni miungu watu. Huyo Flavian Matata ni lazima akumbuke kuwa katika bishara ya dunia hii ya leo na tena ukizingatia ni biashara huria hakuna cha kusema kuwa hii ama ile ni idea yako. Sasa hivi biashara na masoko ni ya ushindani, tena ushindani mkubwa sana. Leo ukija na haki wenzako wanakichukua kitu hicho hicho na kukiboresha zaidi ili kuwavutia wateja. Mambo ya kubakia kujilalamikisha lalamikisha badala ya kuongeza ushindani katika bidhaa zako kwa kuziboresha zaidi hautakusaidia sana na sana sana Dunia itabakia kukushangaaa na kukucheka. Kama Jokate amekushinda kwa ubunifu mzuri wa bidhaa zake kaa kimya na uache mara moja kujilalamikisha. Usitake kutuambia hiyo idea ya backpack ni wewe mtu wa kwanza hapa Duniani kuja nayo. Hizo backpack zipo nyingi sana na zenye brand tofauti tofauti lakini hatuyaoni hayo makampuni yanayozalisha hizo bidhaa yakijilalamikisha lalamikisha kuwa kampuni fulani imeiba idea yetu. Mimi nilitegemea mtu kama huyo Flavian Matata kuwa na weledi wa hali ya juu katika mambo ya ushindani wa kibiashara lakini inavyoonekana na pamoja na kukaaa kote Ulaya na Marekani haijamsaidia sana. Amebakia ni mswahili yuleyule na hana tofauti sana na akina dada poa. Kwa kweli nimeamini kuwa mswahili ni mswahili tu hata akiishi Marekani ama Ulaya uswahili ni uleule.

    ReplyDelete
  2. Kuna Nike...Puma...Adidas zote zina tengeneza Sneakers au Raba sijawahi sikia wakisema kuna mtu kaibiwa Idea galy....Fanya kazi acha kulalamika umeibiwa what so ever.

    ReplyDelete

Top Post Ad