DEREVA Aliyeachia Usukani wa Basi Huku Akicheza Wimbo wa Darasa Mikononi Mwa Polisi Kwa Kuhatarisha Maisha ya Abiria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yule Dereva aliyepagawa na nyimbo Mpya ya Darasa na kisha kuacha kuendesha Gari na kisha kuanza kucheza mziki huo huku gari hilo likiwa kwenye mwendo akamatwa na Polisi..

Hawa ndio wahusika walio kuwepo kwenye tukio hilo..


Dereva huyo ambaye ameonekana kwenye video akiwa anaendesha gari aina ya Coster ambayo inafanya safari zake Dodoma kwenda itigi akiwa anafanya kitendo cha hatari cha kuacha gari likiwa kwenye mwendo na kisha yeye kusimama na kuanza kucheza muziki huo akamatwa na Polisi na kesho atapandishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazo mkabili yeye pamoja na wenzake ambao alikuwa nao kwenye Gari hilo.
Kama Hujaona Hiyo Video Hii Hapa Chini:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. achukuliwe hatua kali huyo na laisence ichukuliwe yaani hajali uhai wa watu katika watu wote waliopoteza maisha na wengine kupata ulemavu kutokana na ajali halafu yeye bado anafanya mzaha pumbavu mkubwa

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Nafikiri hilo gari lilikuwa limetapki ilikuwa kama wanaigiza kwani gari ambalo siyo Automatic lazima ukiachia exvelleta lisimamae

      Delete
    2. Nani kasema Gari manual inasimama hapo hapo ukiachia steering???

      Delete
    3. Likiwa kwenye gear sawa, ila likiwa kwenye neutral si linanda tu. Na kama lilikuwa limepaki wangemkamata kwa lipi?

      Delete
  3. Shika kamtaaaa weka bambataaa kaboka mchizi nishadataaaa....hhahahahhhah darassa noma wallah....lakn kwani alikuwa na abiria mle si walikuwa yy na vichaa wenzie ambao walikuwa wanafurahia hilo tukio na kwa muonekano gari kama ilikuwa ipo kwenye spidi ndogo ni kama walikuwa kwenye rafi road....haya utamu umegeuka kizaa zaaa....achia uskun ukamatwe na wajedaaa...uwiiiiiii wacha mchezo na mziki...hahhahaha

    ReplyDelete
  4. Shika kamtaaaa weka bambataaa kaboka mchizi nishadataaaa....hhahahahhhah darassa noma wallah....lakn kwani alikuwa na abiria mle si walikuwa yy na vichaa wenzie ambao walikuwa wanafurahia hilo tukio na kwa muonekano gari kama ilikuwa ipo kwenye spidi ndogo ni kama walikuwa kwenye rafi road....haya utamu umegeuka kizaa zaaa....achia uskun ukamatwe na wajedaaa...uwiiiiiii wacha mchezo na mziki...hahhahaha

    ReplyDelete
  5. Huyu ni wa kupoteza na asipate tena leseni maisha yake yote-ujinga huu

    ReplyDelete
  6. Kumamae zake madereva hawa ndio husababisha ajali za kizembe

    ReplyDelete
  7. hata kama angekuwa peke yake na marafiki zake huruhusuwi kufanya mzaa barabarani sababu unaweza kumgonga mtu au kusababisha ajali ya magari mengine na hata kama angekuwa peke yake bila rafiki pia haruhusiwi kufanya uzembe sababu anaweza kugonga watu au kugonga magari mengine

    ReplyDelete
  8. Ni kosa kubwa sana kwa sheria za usalama barabarani

    ReplyDelete

Top Post Ad