DEREVA Bodaboda Aliyembeba Mmiliki wa Nyoka wa Ajabu Afunguka A-Z (Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tukio lililozua taharuki kwa wakazi wa Songea mkoani Ruvuma na kupewa nafasi kubwa katika vyombo vya habari vya Tanzania na nje ya Tanzania pamoja na mitandao ya kijamii, huku likiacha gumzo midomoni mwa watu, kuhusiana na kifo cha Denis Komba kufariki dunia baada ya nyoka wake aliyekuwa anasadikiwa kummiliki, kuuawa na wananchi DESEMBA 26.

Ruvuma TV imezungumza na KASIANI HAULE, ambaye ndiye dereva boda boda aliyekuwa kakodiwa na marehemu DENISI KOMBA Bonyeza hiyo Video upate ukweli wa tukio.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mchezo wote ulishapangwa hamna nyoka wa ajabu wala nini, watu wanatafuta kiki kwa njia ya ajabu kwani ushirikina haupo siku hizi

    ReplyDelete

Top Post Ad