HAMADAI adai alitongozwa na Shilole, aeleza sababu ya kuachana naye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpenzi wa zamani wa Shilole, Hamadai amefunguka na kueleza jinsi alivyokutana na Shilole na kuanza mahusiano.

Muimbaji huyo mchanga wa bongofleva alifahamika mara baada ya kuwa katika mahusioano na Shilole.

Akiongea katika kipindi cha Enewz cha EATV, muimbaji huyo amesema kuwa kwa sasa ameamua kuachana kabisa na Shilole kwa sababu kuna mambo ambayo alikuwa akiona hayaendi sawa na sasa ameamua kujikita katika muziki wake.

“Shilole ndiye aliyenitongoza mimi na siyo mimi, na sasa nimeona niachane naye kwa sababu kuna vitu ambavyo nilikuwa naona haviendi sawa, pia mimi siwezi mzungumzia vibaya. Kabla yangu alikuwa na watu kadhaa ambao tayari ameachana nao, akawa na mimi na tukaachana na sasa ana mtu mwingine ambaye pia anaweza kuachana naye, hayo ni maisha yake na mimi siwezi kumuingilia” Alisema Hamadai.

Pia aliongezea kuwa yeye sasa hivi amejikita sana katika muziki na kuachana na Shilole hakujampunguzia chochote katika maisha yake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hatukuwepo wakati anakutongoza,hatuamini usemayo.

    ReplyDelete
  2. jamaa mdogo kama njegere anatafuta kiki tu huyo, kwanza dogo mwenyewe ana sura mbaya kama nini, ndiyo Shilole kweli amtongoze huyo, hivi jamaa hana kioo nyumbani cha kujiangalia jinsi alivyo na sura mbaya kama Mavi? Nuh Mziwanda alikuwa mrembo na ndiyo stail ya Shilole lakini siyo huyo jamaa hapo juu msura mbaya kama Mavi meusi

    ReplyDelete

Top Post Ad