SUGU Aomba Radhi Kwa Familia ya Marehemu Baada ya Gari Lake Kumgonga Mtoto na Kumuua....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Sugu amesema moja ya matukio mabaya kutokea akiwa mbunge ni la kupoteza Neema ambaye ni mkazi wa Mbeya na raia wa Mtanzania.

“Naomba mnisamehe. Kifo hiki kimeniumiza, nawaomba radhi ndugu wanafamilia na wananchi wa Mbeya,” ameeleza Sugu kwenye msiba huo.

Dhahiri Kidavashari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya amesema Gabriel ambaye ni dereva wa Sugu, anashikiliwa na jeshi hilo.


VIDEO:MCHUNGAJI AMFUFUA MTU KANISANI KWAKE DODOMA

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu mwandishi wa udaku huwa anazingua sana maana hajielewi anachoandika naona huwa anaandikaga akiwa amelewa maana mara binti aliyegongwa na gari jina akaandika Recho, baadaye kutoka Recho akaandika Neemba baada ya hapo binti aligongwa na gari na kuuliwa anaitwa Neema, wewe mwandishi wa udaku watu wameshakusema sana kwa jinsi unavyoandika huku hujielewi lakini hutaki kusikia kama huwezi kazi si heri uache tu kuliko kuwauzi watu na upuuzi wako

    ReplyDelete
  2. HUO NDIO UBINAADAMU!!!

    ReplyDelete
  3. Ni uungwana kuomba msamaha, lakini dereva ni mzembe mno kumgonga mwenda miguu katika kivuko cha waendao kwa miguu,hakuna justification hapo.

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa ajali hiyo imesababishwa na mlala hoi angepelekwa mahakamani

    ReplyDelete

Top Post Ad