HII ndiyo Simu ya Milioni 16.5 Anayotumia Bilionea Alhaj Dangote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inasemekana hii ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote. Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500. Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama milioni 16.5Tsh hivi. Alhaji sio mtu wa ki-spoti spoti

Mfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki kampuni tanzu ya mafuta inayofahamika kama Dangote Group yenye makao yake makuu nchini Nigeria.

Kufikia June mwaka 2016 kwa mujibu jarida la Forbers, alitajwa kuwa na ukwasi unaokadiriwa kufikia kiasi cha dola bilioni 15.1 akiwa amewekeza kwenye nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania ambapo anamiliki Kiwanda cha kutengeneza ‘Cement’ kilichopo mkoani Mtwara.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alhamdulilah ameejaaliwa

    ReplyDelete
  2. mimi nina simu ya dola 10,000 lakini sijaandikwa mitandaoni

    ReplyDelete
  3. mimi nina simu ya dola 10,000 lakini sijaandikwa mitandaoni

    ReplyDelete
  4. mimi ningechagua Iphone kuliko hiyo simu sababu ni simu ndogo sana kama siemens

    ReplyDelete

Top Post Ad