AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mzee wa miaka 75 nchini Tanzania ameweka bango lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi.
Athuman Bakari Mchambua mkazi wa Dar es Salaam amechukua hatua hiyo baada ya kifo cha mke wake.
Amesema hawezi kutumia njia nyingine yoyote isipokua udahili ama mahojiano kumpata mke. - BBC
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Inshallah babu yangu utapata hitaji la moyo wako...
ReplyDeletetulia babu. Achana na totoz upepo sio mzuri. ridhika na wale ulionao.
ReplyDelete