Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatimaye Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Tarehe 6 Dec 2016

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPANi good news nyingine kwa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa pili, Zari na Diamond wamepata mtoto wao wa pili baada ya kupata mtoto wao wa kwanza Tiffah August 2015.


HONGERENI SANA ZARI NA DIAMOND!

Post a Comment

4 Comments

 1. Hayo ndio matatizo ya Wazazi wapumbavu wasiokuwa na Shule. Sasa angalia wanavyo post maujinga yao ya kutompatia mtoto jina. Bado wako wanabishana kuhusu jina la mtoto. Kwa kweli wazazi wapumbavu ni wapumbavu tu hata kama wakijaliwa kupata pesa kwa mabillioni bado upumbavu unabakia pale pale. Shule jamani shuuuleeee...........

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kama wewe ulivyo mpumbavu,hufirii kama wenzio hapo wako kibiashara?kwa taarifa yako hapo wenzio wanaingiza mkwanja.Mjini shule sio lazima kujiuza kama wewe unavyofanya.shwaini tope wewe!fyuuuuuuuuuuuuuuuuu

   Delete
 2. inafurahiwa kwa Dia kuongeza mtoto kwa njia ya uzinifu. MUISLAMU SI JINA NI VITENDO!

  ReplyDelete
 3. haraka ya nini? Waache wapange mambo yao. kwani kuharakisha kutoa jina ndio usomi? Ebu acheni kudharau watu. hayo ni majaliwa wa mwenyezi Mungu.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)