AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Amesema hayo katika Semina iliyowashirikisha viongozi wa vyama vya upinzani kutoka Mataifa 16 iliyofanyika Makao Makuu ya Chama hicho Kinondoni Jijini Dar es salaam, amesema wanapambana kuhakikisha uwanja wa siasa unakuwa sawa lazima wabadili staili ya kumkabili Rais Magufuli.
Lissu amesema watafanya siasa ikiwa Magufuli anataka ama hataki, ama wanavunja Sheria ama hawavunji” Akipiga marufuku shughuli za kisiasa, hatuwezi kwenda kanisani kuomba, hapana lazima kazi ziendelee katika aina nyingine”amesema Lissu.
Aidha, Lissu ameongeza kuwa katika Uchaguzi uliopita haukuwa wa haki na huru ambapo mawakala waliokuwa wakihesabu kura walikamatwa na kupelekwa polisi.
Hata hivyo ameongeza kuwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa kiongozi yeyote atakayefanya siasa anaonekana kama mhalifu na hukamatwa na kupelekwa mahakamani, hivyo hakuna Demokrasia bali kuna udikteta mkubwa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Lissu, wewe na unavyo jijua mwenyewe.. Ati wanasema kama ni kweli sijui. Umeingia siasa.. Je toka lini? Mimi kwa uelewa wangu juu yako ni vingine kabisa mtoto wa Iramba. Tujuze basi. Mataifa au Kata? Funua ule mwenyewe.. Hapa kazi tu.
ReplyDeleteLissu, wewe na unavyo jijua mwenyewe.. Ati wanasema kama ni kweli sijui. Umeingia siasa.. Je toka lini? Mimi kwa uelewa wangu juu yako ni vingine kabisa mtoto wa Iramba. Tujuze basi. Mataifa au Kata? Funua ule mwenyewe.. Hapa kazi tu.
ReplyDeleteKukabiliana !! na Nani?
ReplyDeleteHata wanaolipa nauli au kutumia gharama ya mafuta kusafiri kwenda kumsikiliza huyu Lissu ni wagonjwa wa akili
ReplyDeletePoleni ila mnahitaji matibabu ya akili nyote!!!!!