Ehee!! Umemsikia Lowassa Alichosema?Amesema Eti 2020 Atashinda Uchaguzi Kiulaini ,Unadhani Hilo Litawezekana Kweli?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema njia ni  nyeupe kwa Chadema kuingia Ikulu katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020.

“Kuweni watulivu  na mwaka 2020 mjitokeze kupiga kura na kama nitakuwa  hai nitakuwa mgombea tena wa urais kupitia muungano wa vyama vya upinzani,” alisema.

Akizungumza nyumbani kwa kada wa Chadema, James Lembeli katika kijiji cha  Mseki, Kahama, Lowassa (pichani) alisema ameshindwa kuzungumza na kufanya mkutano na  wananchi wa kijiji hicho akihofia kukamatwa na polisi kama alivyokamatwa Geita na kuwataka wawe wavumilivu hadi uchaguzi wa mwaka 2020.

Kadhalika, Lowassa aliwataka vijana wasikubali kuibiwa kura kwa madai uchaguzi uliopita hawakutendewa haki na ndio maana walikosa ushindi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndoto za ALI NACHA

    ReplyDelete
  2. mwenyewe amesha sema kama Yuko hai..yeye mwenyewe anajijua afya yake na jinsi inavyomsumbua. Sasa Ni mama kwa ajili ya towe itanidi umwambie wazi!! Hapo wanasema unatembea na asili mia 18% za wapiga Kira hicho Ni kilemba cha ukoka. Hawawezi wao ILA wanataka kukutumia kama tissue paper halafu jalalani usikubali wakuue. Nasema waambie kinaga ubaga Mimi na siasa sasa BASI. NARUDI kuchunga na kuangalia Familia yangu.HAPO ITAKUWA UMEWATENDEA HAKI FAMILY 👪 YAKO. KUMBUKA MAGU KWA SPIDI AMENADILISHA TAIGA KIMAWAZO NA KIAKILI NA MIOYO YETU IMEJIRI.HAMTOWEZA KUTUDANGANYA TENA NYIE WATORO NA MAFISADI. MKUMBUSHE TOWE ALIPE MADENI YETU YA MJENGO NA ALIPE KODI ATAHIKI....HAPA KAZI RU

    ReplyDelete
  3. Hivyo Edo!! wewe huko 2025 kama uko hai .si utakuwa umeshika mkongojo!! Hata kampeni kwe Tv utaweza kuwa na nuru ya macho kuangalia. manake sijui miwani yako kwa sasa namba gani na pempazi za watu wazima uzalishaji utasitishwa 2022. haya yetu masikio...Hapa kazi anapuyanga kuliendeleza Taifa mbele kwa spidi inayozidi siku baada ya siku. Uturuki imeshaingia onboard. Hapa nguvu jasho TU NA BABA JPjM

    ReplyDelete
  4. Hivyo Edo!! wewe huko 2025 kama uko hai .si utakuwa umeshika mkongojo!! Hata kampeni kwe Tv utaweza kuwa na nuru ya macho kuangalia. manake sijui miwani yako kwa sasa namba gani na pempazi za watu wazima uzalishaji utasitishwa 2022. haya yetu masikio...Hapa kazi anapuyanga kuliendeleza Taifa mbele kwa spidi inayozidi siku baada ya siku. Uturuki imeshaingia onboard. Hapa nguvu jasho TU NA BABA JPjM

    ReplyDelete
  5. hahahaaaaaaaaaaaaa umepwelewa mtu mzima weeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad