Huyu Ndiye Trump Bana.. Amtimua Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali Baada ya Kupinga Mpango Wake wa Kuwazuia Waislamu Wasiingie Marekani..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates saa chache tu baada ya kuwaagiza mawakili wa idara ya haki nchini humo kutotetea uamuzi wa kuwawekea vikwazo raia wanaotoka katika baadhi ya mataifa ya kiislamu.

Taarifa ya Ikulu ya Whitehouse imemshtumu kwa usaliti.

Sally Yates ambaye aliteuliwa na Obama alisema kuwa hafikirii kwamba marufuku hiyo ya muda kwa raia wa mataifa saba ya Kiislamu ni halali.

Wadhfa wake umechukuliwa na kiongozi wa mashtaka katika mahakama ya kijimbo huko Virginia Dana Boente.

Agizo hilo la rais lililotiwa saini Ijumaa iliopita limesababisha maandamano nchini Marekani na ughaibuni.

Awali kundi moja la wanadiplomasia liliandika barua likikosoa agizo hilo wakisema litazidi kuhatarisha usalama wa taifa hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo ubabe wa maraisi wengi wa dunia. Hawajui kazi zao. Madictator. ni raisi hajui majukumu yake. Hajui udemokrasia. Ni yeye au nje. Kwa nini inashsngaza. He is norscistic, dangerous to the word. No vommon sence. Hajui challenges kimaisha. Ni hatari. At least watu wako barabarani. Nvhi nyingi hawafanyi hibi. Wanapotea tu. Tuone mwisho wske. Hata Marekani kuna wajinga na wasio na akili wengi sana.

    ReplyDelete
  2. we vp kwan mwanasheria ndio mahakama?

    ReplyDelete

Top Post Ad