Noma Sana..Alichokisema Kajala Baada ya Watu Kudai Mwanawe Ameonekana Kwenye Video Akifanya Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

kajala
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari.
paula-2
Paula Paul katika akiwa na watumishi wa Kajala Entertainment
Awali ilisemekana kuwa katika video ile  binti aliyeonekana ni Paula Paul ambaye ni mtoto wa staa wa  Filamu Tanzania Kajala Masanja ‘K’.kajala-2
Kajala na mwanaye Paulapaula
Paula katika pozi
Kupitia mtandao wake wa Instagram, Kajala amekanusha vikali taarifa juu ya video hiyo na kusema kuwa yule si Paulapaula
Puala na wazazi wake.
“Hey everyone….jamani mimi sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema mimi kwa kitu chochote kile…kwasababu najua binadamu kuongea mmezoea..ila katika kuongea kwenu,kuingilia na kujudge my life naomba msimuingize mtoto wangu…sijawahi kumuomba mtu anisaidie kulea hata siku moja…mimi nimeona kuna video insambaa mnasema ni mwanangu na mnajua kabisa sie paula huyo ila ilimradi tu mfurahishe roho zenu…nilinyamaza…ila sasa naona mnakoelekea ni 

pabaya..mnahisi yeye hana moyo? Au mnahisi haumii?.mwanangu anasoma na sitaki mumchanganye na mambo yenu ya kipuuzi…vitu vibaya mnavyo muombea mwanangu viwarudie wenyewe…leave my daughter alone jamani…give us a break..fanyani tu mambo yenu yatakayofanya mpate faida katika maisha”, ameandika Kajala.kajala

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBONA HANA CHARACTERISTICS HATA ZA UANAFUNZI?
    ACHA TABIA YA KUMUWEKA MITANDAONI MWANAO, NDIO MAANA UNAKUMBUKANA
    NA MASKENDO. SASA KAMA MWANAFUNZI KUTWA KURUSHA HISTAGRAM UNAFIKIRI
    HAYO ULIYOCHUKIA HAYATATOKEA?
    USHAURI TUU... WAWEZA KUUCHUKUA AU LA...

    ReplyDelete
  2. Huyu mtoto karithi kwa mamake maana kajala ni Malaya aloshindikana ikiwa aliweza kumchukua bwana WA wema.like mother like daughter

    ReplyDelete
  3. Anaeza akawa no Paula,, kwani yeye sio mtoto was kikee,,,,,, wacha wamnyooosheeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad