Yanga Yampa Mchezaji Huyu Ngao ya Ushujaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Club ya Young Africans Sports Club alimaarufu kama Yanga ambayo ilishiriki katika michuano ya 11 Kombe la Mapinduzi ambayo imemalizika jana kwa Azam FC kuibuka mabingwa baada ya kuwalaza bao 1-0 Simba SC.


Yanga imeamua kumtunuku ngao ya ushujaa kiungo, wimba na mshambuliaji wake wa pembeni Saimoni Msuva kutokana na mchango wake mkubwa katika klabu hiyo pia Msuva ameibuka kuwa mfungaji bora wa timu hiyo katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kutupia jumla ya magoli 4 mbali ya goli hizo katika jumla ya magoli 8 ambayo Yanga imepata nje ya magoli 2 ya matuta, Msuva ametoa usaidizi ya magoli 2.

"Msuva amekuwa mchezaji tegemeo kwenye timu katika michuano mbalimbali inayoshiriki klabu hali inayomfanya kusimama kama ngao muhimu ya ushindi. Kasi yake, utulivu na kufuata maelekezo ya waalimu wake vinamfanya kuwa bora kila uchao. Kubwa zaidi kwa mchezaji huyu ni nidhamu binafsi,uelewano mzuri na wenzake, ucheshi na moyo wa kujituma muda wote vinamfanya kung'ara kila uchao". Yanga
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad