40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya wageni waalikwa.
Tazama Video:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kajipendekeza ili aonekane hajatembea na Domo.

    ReplyDelete
  2. Wolper anajishuku kwa ujinga wake. sasa anataka kujifanya Dai ni kaka yake? na Kiba je? anamwita mjomba au... mnafiki mkubwa, ndo maana Mkongo alimtapeli.

    ReplyDelete
  3. Zari anamjua kama worper ni mke mwenzie. sasa anashuku nn. na klyn nae katuliaaa anawacheka tuu.

    ReplyDelete
  4. shoga yake Kajala hajaalikwa kabakia kutoa picha za Nillan. amseme alimfanya nn bi kizee mpaka akamchukia na kumualika Wema badala yake. Wolper kajambe nguo kama umeokota Tandale. umeliwa sana na Daimond.

    ReplyDelete
  5. 70 imegeuka kuwa 100. Madale wauza nyapu woote wapo. Wolper anajishauwa anafikiri bi masumbuko anataka kuwa na urafiki nae? yuko wapi Hamisa na Kajala? asubiri 40 ya mtoto wa 3 na klyn. ndo atakapojua Maharage si mboga.

    ReplyDelete
  6. nguo alovaa sasa! kama gunia la dagaa wa kigoma.

    ReplyDelete
  7. jamani Halima Mapengo kaufyata au kakomeshwa na wana familiya. uso umemshuka kama mbuzi wa hitma. alikuwaga anajipendekeza kwa Zari utafikiri ndugu yake. sasa kaja woper. dunia hii imejaa laana.

    ReplyDelete
  8. No class at all. Sijui wabongo tuna matatizo gani Nan pombe za bure.....

    ReplyDelete

Top Post Ad