Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Harmorapa...!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake yoyote hivyo hajui uwezo wake kimuziki.

Iyobo aliendelea kwa kutoa povu kuwa yeye anamchukulia Harmorapa kama mtu aliyekurupuka kwenye muziki na hajui ni nini anachotakiwa kufanya.

Kupitia eNewz ya EATV Iyobo alifunguka hayo huku akikazia kuwa muziki si jambo la mchezo mchezo bali unahitaji kujipanga.

“Mimi ni mtu ambaye nipo kwenye muziki muda mrefu, kila siku nyimbo mpya zinapotoka ziwe za watu maarufu hata wasio maarufu nazisikia lakini mimi sijawahi kusikia kazi yoyote ya Harmorapa, kwa hiyo sina cha kumshauri ila hiyo kazi anayofanya inahitaji mtu makini, anayekwenda na wakati na siyo kukurupuka tu na kufanya ghafla sababu hiyo kazi ina pesa nyingi na inatia umasikini kwa haraka sana kama hufanyi vile inavyotakiwa,” alisema Mose Iyobo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mtoto mpuuzi sana kwani yeye ndiye anayepitisha kazi zote za wasanii wengine! Yeye aendelee na kazi yake ya kukata viuno kwa diamond na hamuache Harmorapa na yake

    ReplyDelete

Top Post Ad