Jokate Akutana na Beyonce, Jay Z na Blue Ivy Kwenye NBA All-Star Game

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi. Lakini bahati hiyo ya mtende imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo Jumapili hii.


Siamini: Jokate Mwegelo akisalimia na Jay Z huku mtoto wake, Blue Ivy akiamtazama kwa makini. Pembeni yao ni Queen Bey

Jojo amefanikiwa kukutana na The Carters wakiwa na mtoto wao, Blue Ivy kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New Orleans, Louisiana kwenye uwanja wa Smoothie King Center.

“So NBA Africa took me courtside and I haaaaaaad to say hello to the Carters,” ameandika Jokate.

“OMG 😭😭😭😭. @beyonce is super cute and I can’t believe she shook my hand and was like nice to meet you. 😍😍🤗🤗. I was like wait I need a picture, I came all the way from Tanzania for this B 😕. She’s so sweeeeeet and I’m so lucky lmao,” ameongeza.

“Thank you @beylite @balleralert for this pic I couldn’t snap one as I was shocked and still in disbelief. 😳 #Beyonce #Beylite #NBAAfricaGame #NBAAllStar

Bongo5
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana lolote lile kwanza hiyo picha inajieleza, Queen Bae hana habari nae sana sana anaonekana kama stalker. Huyo Blue Ivy alivyomtolea mimacho utafikiria kamuona mwizi na kwa kweli anaonekana ni mwizi. Jamani hizi tabia za kujipendekeza kwa ajili ya kutafuta kiki muache.

    ReplyDelete
  2. Picha inaonekana kama unajikomba kwa JZ,ungesalimiana na mke wake kwanza hizi ndio heshima za huku.

    ReplyDelete

Top Post Ad