AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Jana Redio ya Clouds kupitia kipindi cha Power Breakfast walitangaza kuwa siku ya Leo Atakuja mkuu wa Mkoa Paul Makonda kutolea ufafanuzi mambo mbali mbali kuhusu yeye ambayo yamekuwa yakiongelewa na kushutumiwa bila yeye kutoa majibu.
Sasa asubuhi ya Leo kipindi hicho kimeomba radhi kuwa Leo Mh Paul Makonda hata weza kuja kwenye kipindi hicho kutokana na majukumu ya kiserikali yanayomkabili siku ya leo
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Bado najiuliza ni kwa nini tuhuma zote kwa Mh.Makonda zimeibuka mara tu baada ya kutaja majina ya wauza unga?? Ingekuwa vipi kama hasinge anzisha vita hii ya madawa ya kulevya?? Wanataka kumkatisha tamaa ama nene!! Kumbe kweli wauza madawa ya kulevya wana mtandao mpana! Umdhaniae-sie-kumbe-ndie
ReplyDeleteKama alivyotuhumu, ni wajibu wake kujibu tuhuma kwa kuthibitisha au kukanusha, kiufupi hili ndilo ingizo jipya ili kujishahulisha na ugumu wa maisha na njaa
ReplyDelete