U HEARD: Irene Uwoya afafanua ishu ya kupenda wenye sura mbaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mwigizaji Irene Uwoya kusema kuwa anapendelea zaidi kuwa na wanaume wenye sura mbaya, leo kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Brown amepiga naye stori na ameifafanua zaidi kauli kauli.

‘Nawapenda wanaume wenye sura mbaya kwa sababu wanajua mapenzi na wanaogopa kuachwa, mtu mwenye muonekano mzuri yuko busy na kujitengeneza lakini mbaya yeye mkiwa sehemu akili inakuwa pale’;-Iren Uwoya

Bonyeza play hapa chini kusikiliza Full Stori:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad