WEMA Sepetu Afanya Uamuzi Mgumu...Aamua Kuikimbia CCM na Kujiunga Chadema..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo Wema Sepetu Ameamua Kukikimbia Chama cha CCM baada ya Mh Paul Makonda Kumjumuisha katika watu wanaohusika na Madawa ya Kulevya na kufikishwa mahakani..

Picha kadhaa zimewekwa mtandaoni zikionyesha Wema Sepetu akiwa na Viongozi wa Chadema Akiwepo Muheshimiwa Mbowe....

Nini Maoni yako?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kuheshimu uamuz wak ila hapa amekurupuk na kujimaliza mwenyewe. Baada ya myak kam 2 hutomskia ao kusikia jina lake likitajwa. Na kuham kwak sio hii kashfa ya madaw ya kulevy bali nii ile ishu ya yeye kushindw kweny uchaguz ulio kwish na kushindw kuwania kit chochot. Na hap ameon kwamb hii kashfa ya madaw ya kulevy ime mharibia sif zak za kugombea kweny uchaguz ujao wa 2020 ndan ya ccm nahivy bas kuamua kutimkia Chadema ili awez gombea.

    ReplyDelete
  2. CHAGADEMA na zoazoa. Uchaguzi 2020 hamna bao.
    Ushahidi uko wazi. Wenye tabia zinazofanana huenda pamoja. Birds of a feather flock together.
    Chunguza tu utaona. CHAGADEMA mambo yao ukabila, uhalifu, ufisadi, matusi na mambo kama hayo. Wanafanana, wako kwenye kapu moja la makapi.
    Kundi hili halifai kuongoza nchi, wananchi kuweni macho.
    #UsirudieKosa2020kupigiaKuraUpinzaniOvyo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNAHITAJI UOMBEWE , NENDA MTWARA MPAKANI UJUE KWA NINI CCM HAIFAI!!!

      Delete
    2. nafikiri we ndo unatakiwa kupungwa mapepo bora mwezako anayeombewa, CCM itaendelea kupeta

      Delete
  3. Mbona mapema Kampeni za uchaguzi 2020 bado mbali makapi yashaanza kuondoka kimbilio la mafisadi wala bange sembe wote dump yard CDM mtanyooka tuu

    ReplyDelete
  4. CCM Haikumtuma wema kutumia madawa ya kulevya na haitamtetea akikutwa na kosa la jinai kwahiyo sheria inafata mkondo wake alie na waliomtaja kuwa naye yumo asilie na makonda wala siro kama anatafuta wakubeba msalaba wake anaweza sepa awafate wenzie CDM kalikoroga mwenyewe na alinywe mwenyewe kwa Magufuli no ushikaji na hapo mpaka tumsome tumeshika swalat mustakhima na nchi itapata heshima nje na ndani na watu kuheshimia

    ReplyDelete

Top Post Ad