Alichokiandika Zitto Kabwe Baada ya Kumtembelea Nape Nyumbani Kwake...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimetoka nyumbani Kwa Mbunge wa Mtama ndg Nape Nnauye kumpa Salam zangu za mshikamano na kumtia moyo katika majukumu yake ya kuhudumia watu wa Mtama Lindi na Tanzania Kwa ujumla. 

Amenieleza kuwa anakwenda jimboni kwake ndani ya siku chache zijazo. Nataraji watu wa Lindi, bila kujali itikadi za vyama vyetu vya siasa, watampa mapokezi anayostahili
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Teteteteteteh!Mjaribu kuwa karibu nae muda wote,asije akajitundika jamani.BUNGELIVE.

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu Zitto Kabwe na yeye amekuwa Mwandishi wa Habari????

    ReplyDelete
  3. Wewe jitto. Ndumila kuwili na Fatani..Nape anajielewa na ana Uelewa. Umemkosa na ofa potofu uliyoipeleka.

    ReplyDelete
  4. Wewe jitto. Ndumila kuwili na Fatani..Nape anajielewa na ana Uelewa. Umemkosa na ofa potofu uliyoipeleka.

    ReplyDelete

Top Post Ad