Aunty Ezekieli -Mose Hakukosea Kumuita Harmorapa 'NYANI' ...!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muigizaji Aunty Ezekiel amemtetea mpenzi wake (Mose Iyobo) kwa kumfananisha na nyani msanii chipukizi anayefananishwa na mmoja wa wasanii kutoka WCB  (Harmo Rappa) kwa kusema ni sawa kabisa na Mose hakufanya makosa

Hivi karibuni akiwa kwenye Kipindi cha KIKAANGONI cha Facebook EATV Aunty amesema kwamba watu walimnukuu vibaya Mose na kumhukumu moja kwa moja huku akiongeza kwamba hakuwa na nia mbaya.

“Sikuona shida yoyote Mose kumuita Harmorappa nyani kwa kuwa ni majina ambayo vijana wa kisasa wanajipa, mfano kama Nasibu anavyojiita Simba, asilimia kubwa ya watu hawakujua kwa nini alijiita hivyo, wangemuuliza kwa nini ameamua kumfananisha na nyani ndipo wangehukumu, yule si msanii? basi inawezekana Mose labda baada ya kusikiliza wimbo wake  kaona kwenye kuimba ana kisauti kama cha nyani au labda anarukaruka kama kinyani, kwa hiyo ni sawa kumuita nyani" Amesema Aunty.

Aunty amesema alichokifanya Mose ni kumsaidia Harmorapa kujiita nyani na kwamba Mose alichokosea ni kumuita kabla yeye (Hamorapa) hajajiita mwenyewe.

Aidha Aunty amesema kwa upande wake hamkubali kabisa Harmorapa kwa kuwa analazimisha kujulikana na hana kipaji

"Yule mshikaji simkubali kabisa anatumia nguvu nyingi na sababu kutafuta kujulikana kiufupi hajajipanga, hana kipaji" Amesema Aunty
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani kwa mtu mwenye akili timam na mwenye uwezo Wa kupambanua mambo anajua kanisa Aunt Ezekiel kachemka. Niulize kwa nini.Coz chanzo cha Mose kusema hivyo na anachojaribu kuongea Aunt ni vitu biwili tofauti kabisa.

    ReplyDelete
  2. Kama ni majina ambayo vijana wanajiita basi tumuite iyobo nguruwe!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. YEYE MWENYEWE KACHOROPOA NYANI WANGAPI?

    ReplyDelete
  4. wewe KISHANGAZI sijui aunty kizungu..huna jipya..sasa kwa taarifa yako hilo jamaa lako IYOBO ndo NYANI Copy right..pamojaja na kujipodoa kote kabla ya kuanza kukata VIUNO..still looks similar to monkey..GOD IS THE GREATEST.oh ma GOD..kweli waswahili walisema nyani halioni kundule...wanajamii please dont take it easy..angalieni vizuri sura ya IYOBO mtaona ufanano kwa asilimia nyingi kafanana sana na hicho KIUMBE NYANI.. NB:SIMCHUKII KIUMBE CHOCHOTE CHA MUNGU..

    ReplyDelete
  5. Halafu Iyobo ana chunusi zenye usaha. Hivi huyo antie hakuelekezi vi creme utoe huo uchafu usoni? Unatia kinyaa kwa kweli. Na sura yako na hiyo rangi. Chimpanzee huyu hapa. Mungu alivyo mkubwa. Mtoto wenu ni kituko. She is so ugly. Ndio maana mlimficha mpaka alipokuwa mwaka mmoja. Mmechemka. Mtoto wenu ni winner wa ugliest babies in the planet. Malimbukeni wawili. Mke malaya bwana mkata viuno.

    ReplyDelete

Top Post Ad