Steve Nyerere - TID ni Panya Tu...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa vichekesho Steve Nyerere ameibuka na kumjibu msanii TID huku akieleza kufurahishwa na hatua ya TID kumfananisha na panya kwa kuwa inaonesha jinsi alivyo mjanja ambaye anaweza kujitafutia na kusema

Wakati akifurahi kufananishwa na panya, Steve amemfananisha TID na paka ambaye husubiri kutengewa kila kitu.

Steve Nyerere alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye hawezi kuanza kujibishana na TID sababu kwake TID si kitu chochote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bongo muvi na Bongo fleva wote wasanii nani zaidi..JB toa uamuzi

    ReplyDelete
  2. Bongo muvi na Bongo fleva wote wasanii nani zaidi..JB toa uamuzi

    ReplyDelete
  3. Bongo muvi na Bongo fleva wote wasanii nani zaidi..JB toa uamuzi

    ReplyDelete

Top Post Ad