Baada ya Kutupiwa Virago Yanga, Pluijm Ahama Dar na Kuhamia Singida ...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha wa zamani wa klabu ya Young Africans, ambaye ni raia wa Uholanzi Hans van Der Pluijm leo March 17 2017 ametangazwa rasmi kujiunga na club ya Singida United ya Singida, Hans anajiunga na Singida United baada ya uvumi sasa hatimaye amejiunga na timu hiyo.

Hans van Pluijm anajiunga na Singida United kwa mkataba wa miaka miwili, hiyo ni baada ya kuachana na Yanga kama utakuwa unakumbuka vizuri Hans van Pluijm ndio kocha aliyeipa Yanga mataji ya FA na Ligi Kuu msimu uliyopita sambamba na kuifikisha hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad