Exclusivee..Alichokisema Diamond Kuhusu Harmorapa ....!!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platinums Amefunguka Kuwa Hawezi Kumkandamiza Harmorapa kwa kutumia jina linalofanana na harmonize kwani staa huyu naye anatafuta maisha.

Diamond Amesema kuwa anampongeza Harmonize kwa kazi nzuri anazofanya hali iliyopelekea kupata shabiki anayevutiwa naye na kutamani kuwa kama yeye .

Aidha Staa huyo anayeweka na trak yake ya Marry You amesema kuwa Harmorapa Anatakiwa Kuungwa Mkono kama wasanii wengine kwani huenda alitafuta sana nafasi hii kwa muda mrefu.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. una busara sana!

    ReplyDelete
  2. UNABUSARA ZAIDI YA SANA DOGO,HUNA MAJIVUNO KM YULE ALLY KIBA.UNAPIGIWA MAGOTI MTOTO WA KIISLAM UMETULIA KWENYE SEAT YA GARI WEWE,BAADA YA KUMKATAZA ANAYE SUJUDIWA NI MUNGU PEKE YAKE..NA VIJITABIA VYA KUNATANATA-MWAMBIENI AACHE MARA MOJA KM MTOTO WA KIUME..

    ReplyDelete
  3. Amo lapa..ni habali ingine..moto wa kuotea mbali..lazima tufanye nae kolabo..hata Salam aliulizia..meneja qake lazima alete msukumo...!!! pamoja sana lapa..Darassa na king pia..Umeshaingia kwenye game Ben Pol vile vile..wewe ni tishio katika game woopa kaanae mbali.

    ReplyDelete
  4. Amo lapa..ni habali ingine..moto wa kuotea mbali..lazima tufanye nae kolabo..hata Salam aliulizia..meneja qake lazima alete msukumo...!!! pamoja sana lapa..Darassa na king pia..Umeshaingia kwenye game Ben Pol vile vile..wewe ni tishio katika game woopa kaanae mbali.

    ReplyDelete
  5. Amo lapa..ni habali ingine..moto wa kuotea mbali..lazima tufanye nae kolabo..hata Salam aliulizia..meneja qake lazima alete msukumo...!!! pamoja sana lapa..Darassa na king pia..Umeshaingia kwenye game Ben Pol vile vile..wewe ni tishio katika game woopa kaanae mbali.

    ReplyDelete
  6. MTOTO ANATAKA ATOKE MPENI SHAVU ATOKE,NA NDO KESHA KUWA FAMOUS.KM ULIVO ELEZEA SIMBA KATOKA MBALI MPAKA KUFIKA HAPO..KWA KWELI HARMORAPA ANAWEZA KUCHANA ...SIO SIRI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI-ANAWEZA KUCHANA/KUIMBA..ATAFIKA MBALI..

    ReplyDelete
  7. My comet. amo lapa tishio

    ReplyDelete

Top Post Ad