Gabo Zigamba Awatolea Povu Madirectors wa Bongo Movie..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muigizaji wa filamu nchini Tanzania  Gabo Zigamba amewataka waongozaji filamu Tanzania (Directors) kutojihusisha na kazi za kuongoza filamu kama hawana vipaji pamoja na taaluma hiyo.

Gabo amesema watu hao ndiyo wanasababisha soko la filamu nchini kupigwa bao na kazi kutoka nje kwa maana kazi wanazozitengeneza kukosa ubunifu na ushindani kama ilivyokuwa zamani kupelekea watazamaji kuichukia 'Bongo Movie'.

"Kuwa 'director' siyo suala la kukurupuka tu, si maamuzi ya kufikirika tu ukaamua kufanya hivyo lakini kila kinachofanyika lazima kiwe kina taaluma ila nasisitiza na kuwaambia watu wasifanye vitu bila ya kuwa na taaluma navyo, ukifanya kitu chenye taaluma nacho itakuwa kwenye ubora".Alisema Gabo

Aidha msanii huyo amesema kwa upande wake watu wasahau kwa sasa kwa yeye kuwa muongozaji filamu na kama atataka kufanya hivyo basi atafanya kwa utaalamu na siyo kukurupuka.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad